iqna

IQNA

antonio guterres
Jinai za Isarel
IQNA - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesikitishwa na mauaji ya utawala haramu wa Israel dhidi ya raia katika Ukanda wa Gaza, akisema hali hiyo inatishia sheria za kimataifa za kibinadamu.
Habari ID: 3478420    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/27

Jinai za Israel dhidi ya Wapalestina Gaza
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametumia ibara ya 99 ya Hati ya Umoja wa Mataifa, ambayo ni nadra sana kutumiwa na Katibu Mkuu wa umoja huo, kulitolea wito mzito Baraza la Usalama wa "kushinikiza kuepusha janga la kibinadamu" katika Ukanda wa Gaza na kuungana katika kutoa wito wa kusitishwa kikamilifu mapigano kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Harakati ya Mapambano (Muqawama) ya Kiislamu ya Palestina HAMAS.
Habari ID: 3477999    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameijibu barua aliyoandikiwa na Kiongozi wa juu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq kuhusu kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Uswidi na Denmark.
Habari ID: 3477349    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/28

Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Baraza Kuu na nchi zote duniani, kutekeleza wajibu wao wa kimataifa wa kisheria, kiutu na kimaadili ili kuwatetea watu wasio na ulinzi wa Palestina na katika mkabala wa uvamizi na hujuma za utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3476645    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/02

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameshikamana na Waislamu wote duniani ambapo amewatakia heri na baraka wakati wa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475091    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/03

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu (Islamophobia) na kusema ubaguzi wa rangi kwa bahati mbaya sana upon a unaendelea katika nchi zote na katika jamii zote duniani na mizizi yake imekita kutokana na karne na karne za ukoloni na utumwa.
Habari ID: 3473747    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/19

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito kwa kutatuliwa tatizo la mgogoro wa wakimbizi Warohingya kupitia utatuzi wa chanzo kikuu cha sababu za wao kukimbia makazi yao nchini Myanmar.
Habari ID: 3473113    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/28

TEHRAN (IQNA) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema janga la COVID-19 au corona limeibua 'tsunami ya chuki' na hivyo ametoa wito wa kusitishwa matamshi yaliyojaa chuki duniani.
Habari ID: 3472746    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/08

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres, ametegemea aya ya Qur'ani Tukufu katika ujumbe wa kusitishwa vita katika maeneo yenye mapigano duniani kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472696    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/23

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa maambukizi ya sasa ya virusi vya corona ndiyo mgogoro mkubwa zaidi duniani tangu baada ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia.
Habari ID: 3472624    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/01